Moss Moss - E-sir, Brenda

Moss Moss - E-sir, Brenda

Год
2000
Язык
`Svahili`
Длительность
199990

Şarkının sözleri aşağıdadır Moss Moss , sanatçı - E-sir, Brenda çeviriyle birlikte

" Moss Moss " şarkısının sözleri

Çevirili orijinal metin

Moss Moss

E-sir, Brenda

Jasho yatiririka

Moyo wapiga

Kila mtu anawika

Hajui vile ya kusema

Mahewa tunapewa

Yatiririka

Moyo wapiga

Kila mtu anawika

Hajui vile ya kusema

Mahewa tunapewa

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Nani mwingine mwamjua Kenya nzima kama mimi

Mwenye kushika mic na kuwapa Kiswahili

Sure, rhymes zikitua

Rhymes zapasua vifua (Fafanua)

Na safari hii, ma-emcee, nawaombea dua

Nikiwa-hit kwa industry, niki-manoeuvre

Kama mvua nanyesha mahewa, nikileta wako wengi

Lakini it’s obvious I’m better

It’s hot in here, hot in here

E-Sir ameshika mic, karibia

Brother, kamata

Sister, kata kiuno kwa mdundo

Na huu ndio mtindo

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

And thanks to Ogopa’s guidance, there’s no defiance

Navuta more crowds than Rainbow Alliance

So wakiuliza, sema ni E-Sir

Ameshika na kuturoga kabisa

Ni mahewa (Mahewa)

Mahewa tunapewa (Uh-huh)

Na kukatika na hizi ngoma

Basi (Basi)

Twazicheza na mpango (Mm-hmm)

Twazicheza mpaka jasho

Jasho yatiririka

Moyo wapiga

Kila mtu anawika

Hajui vile ya kusema

Mahewa tunapewa

Yatiririka

Moyo wapiga

Kila mtu anawika

Hajui vile ya kusema

Mahewa tunapewa

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Moss moss

Moss moss

Pole pole

Moss moss

Twazienda

Moss moss

Haraka haraka haina baraka

Haraka haraka haina baraka

2 milyondan fazla şarkı sözü

Farklı dillerde şarkılar

Çeviriler

Tüm dillere yüksek kaliteli çeviriler

Hızlı arama

İhtiyacınız olan metinleri saniyeler içinde bulun