Haujanikomoa - Harmonize

Haujanikomoa - Harmonize

Год
2020
Язык
`Svahili`
Длительность
358760

Şarkının sözleri aşağıdadır Haujanikomoa , sanatçı - Harmonize çeviriyle birlikte

" Haujanikomoa " şarkısının sözleri

Çevirili orijinal metin

Haujanikomoa

Harmonize

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Eti badala ya kujenga anabomoa

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Badala ya kujenga anabomoa

Eti mapenzi hayalazimishwi

Tena ni siri ya watu wawili

Wala sikuwa mbishi

Alivyonikataa kimwili

Asa jana nipo kwa mama Winnie

Napiga zangu chai vitumbua

Eti kasambaza za chini chini

Mie bado ninamsumbua

Oooh mwambieni dada yenu hajanikomoa

Eti badala ya kujenga anabomoa

Mwambieni dada yenu hajanikomoa

Ah badala ya kujenga ana

Dodo style, eeh Mudi mnyama

Msalimie Jengo tamu

Eeh wapi mchachambo mchachambo

Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita

(Twende twende)

Asa mguu pande mguu pande

Twende mguu sawa mguu sawa

Eeh mguu pande mguu pande

Mguu sawa mguu sawa

Ruka kijeda kijeda

Wahuni kijeda kijeda

Asa jump kijeda kijeda

Gwaride la kijeda kijeda

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa

Eti badala ya kujenga unabomoa

Bosi mwenye bajaji hujanikomoa

Badala ya kujenga unabomoa

Chombo imelala gereji

Mie jana sijakula vichwa

Umetuma bonge la meseji

Unataka pesa jua tu ni kichwa

Mi nafanya kazi kwa shida

Nakesha tena silali

Unachukulia barida

Kwa nguvu unadai salary

Muda mwingine niwabebe ndugu zako

Ooooh ooooh ndugu zako

Mwisho wa wiki unataka pesa zako

Ooooh ooooh pesa zako

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa

Maana badala ya kujenga unabomoa

Bosi mwenye bajaji hujanikomoa

Eti badala ya kujenga

Wazee wa chafu tatu (Mama)

Chafu tatu (chinja)

I say chafu tatu, chafu tatu

Na stima kei ndani (Wahuni)

Kei ndani (Machizi boti)

Ana dume ndani (Duke boti)

Dume ndani (Yuapiga mata)

Mzungu wa pili ndani (Wahuni)

Pili ndani

Aya sasa chafua (Walete)

Chafua (Walete)

Wahuni chafua (Walete)

Chafua (Walete)

Nasema fitizi hiyo (Baruti)

Fitizi hiyo (Baruti)

Sasa fitizi hiyo (Baruti)

Fitizi hiyo

Juma mpogo, msalimie Omari Omari

Na anifikishie salamu zangu kwa Dogo Mfaume

Waambie gurudumu linasongeshwa

Na Konde Boy Mjeshi

Kama unampenda Dogo Mfaume, kimbiaa

Kama unampenda Omari Omari, kelele

Usijebishana, Young Keys mleto

Mwambie mzambele ajinyonge

Hunter ninyonge

Dogo router aninyonge

Jose wa mipango, wa mipango

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa

Maana badala ya kujenga unabomoa

Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa

Badala ya kujenga unabomoa

Unakuja mpaka ndani

Tena bila kugonga hodi

Niulizapo ku nani?

Nimechelewa kulipa kodi

Umeme kwangu umekata

Taa kwako zinawaka

Ata maji umekata

Nashindwa gogo kukata

Kupata majaliwa

Ipo siku utapewa

Kwangu nitahamia

Hata ikichelewa

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa

Eti badala ya kujenga unabomoa

Hii ni order toka jeshini

Namanisha kambi kuu Konde Gang

Na anaye zungumza hapa ni mjeshi

Wa majeshi yote ya Konde Gang

Tulia, tulia, tulia

Kaa chini wewe, kaa chini

Aya sasa toa shati, toa shati

Aah zungusha shati zungusha shati

Eeh mpaka kofia yaani dareki

Wazee wa vitambaa vitambaa

Hii ni order wahuni kimbia!

Wote lala chini, eeh lala chini

(The Mix killer)

2 milyondan fazla şarkı sözü

Farklı dillerde şarkılar

Çeviriler

Tüm dillere yüksek kaliteli çeviriler

Hızlı arama

İhtiyacınız olan metinleri saniyeler içinde bulun