Mtaje - Harmonize

Mtaje - Harmonize

Год
2021
Язык
`Svahili`
Длительность
225600

Şarkının sözleri aşağıdadır Mtaje , sanatçı - Harmonize çeviriyle birlikte

" Mtaje " şarkısının sözleri

Çevirili orijinal metin

Mtaje

Harmonize

Ana kasura ka upole

Miaka nenda rudi hazeeki

Tena ni mtu wa gym gym

Shepu ndo linanipa wazim zim

Na cartoon mchore

Ila ndo hilo tena hapendeki

Ama kweli mapenzi hayana mwalimu

Wengine hata kuniona ni adimu

Hivi tuseme ana ngekewa

Ama nyota yake kali ananizidi

Ama mjini nimechelewa

Ona wengine wanamponda wanamuita bibi

Nilianza kumuona mapema

Enzi za mabanda ya sinema

Alikuwaga ni rafiki na Wema

She is so cute

Acha wanione mshamba tu

Mtuta hawezi kunipigia honi

Umri nao ni namba two

Kinachoniuma anajifanya haoni

Kama unamjua, mtaje

Nani anayemjua, mtaje

Kama unamjua, mtaje

Avimbe kichwa ajisifie

Basi kama unamjua, mtaje

Kama unamjua, mtaje

Kama unamjua, mtaje

Avimbe kichwa ajisifie

Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae

Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye

Tena ni fundi wa kuchanua ah

Utasema samaki ng’onda

Hapo ndo nikagundua ah

Hii ni kiriwani za Makonda

Kwa daladala, ninashindwa kulala lala lala

Anambadalda dala dala, anaitoka ka

Hakika ye ndo kiboko yangu

Jua likiwaka ikinyesha

Utembo na ujeshi wangu

Geti ni kwake nilikesha

Mtihani wa mapenza hakuna aliyefuzu

Sawa unywe pombe na useme nguzu

Na mtu kisha penda unakuwa zuzu

Ati nawazaje kuwa mama zuzu

Kama unamjua, mtaje

Kama unamjua, mtaje

Kama unamjua, mtaje

Avimbe kichwa ajisifie

2 milyondan fazla şarkı sözü

Farklı dillerde şarkılar

Çeviriler

Tüm dillere yüksek kaliteli çeviriler

Hızlı arama

İhtiyacınız olan metinleri saniyeler içinde bulun