
Şarkının sözleri aşağıdadır Upofu , sanatçı - Jux çeviriyle birlikte
Çevirili orijinal metin
Jux
Ahh
Unaweza kupenda, tena bila sababu
Ndio maana sijutii, kukutana na wewe
Mapenzi ni kitambo, toka enzi za mababu
Ndio maana sijutii, kukutana na wewe
Upofu wako sio tatizo
Uwepo wako kwenye matatizo
Aaah!
Tabia zako ooh jinsi ulivo
Huruma wako ooh, baby
Nywele zako, baby, Sura yako
Kucha zako mama, Rangi yako
Mwendo wako, darling, Shepu yako
Zinanibamba wewe
Pozi zako, Mama, Maringo yako
Unanidatisha michezo yako
Kiuno chako unaweza, Eeeh
Natamani ungejiona
Jinsi ulivyo mrembo X2
Ungeona mama
Jinsi ulivyo mrembo X2
Natamani ungejiona
Jinsi ulivyo mrembo X2
Wewe ni mzuri
Jinsi ulivyo mrembo X2
Kuna muda unatamani, unipikie chakula, Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa, Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani tutazame wote muvi, kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani uione sura yangu, Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani uione sura yangu, Kibaya hauwezi
Siwezi kuacha njiani, We ndio wangu maishani
Na wengine sitamani, Hata kama hauoni
We ndio wangu daily, Wengine sitamani
Unanipa raha tele, Umenikaa moyoni
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
Farklı dillerde şarkılar
Tüm dillere yüksek kaliteli çeviriler
İhtiyacınız olan metinleri saniyeler içinde bulun