
Şarkının sözleri aşağıdadır Jipe , sanatçı - Nadia Mukami, Marioo çeviriyle birlikte
Çevirili orijinal metin
Nadia Mukami, Marioo
Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia…
Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaaa aaah
Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aaah
Picha kule kule, watapata taabu saaana…
Macho mbele mbele, ananipenda saanaaa aaah
(PRE- CHORUS)
Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu…
Aka kamoyo kangu nijipe… nijipe…
Ukinipenda sana nijipe… nijipe.(X2)
VERSE 2: (MARIOO)
Mmmh
Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai… kweli…
Uh.
ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai… kwelii…
Uh… ndo ushakwama unachotaka sikatai honey
Najua bado huamini haya yamekua.(yamekua ehh)
Acha siamini…
(PRE CHORUS:)
Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyeeetuu…
Aka kamoyo kangu nijipe… nijipe.
Ukinipenda sana nijipe… nijipe (X2)
VERSE 3:(NADIA MUKAMI)
Mapenzi malove nawe, iwe shida au raha nitaponda nawe…
Nataka kapicha nawe… kumbusho pale tumetoka naweee
Angela Maria • 1956
Ece Seçkin • 2024
Eloy • 1992
Jam in the Van, Trash Panda • 2023
Reinaldo • 2002
Çeşitli Sanatçılar, Alp Arslan, Faruk Salgar • 2012
I$$A • 2020
Farklı dillerde şarkılar
Tüm dillere yüksek kaliteli çeviriler
İhtiyacınız olan metinleri saniyeler içinde bulun